Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally atoka na jipya usajili Simba SC

Ahmed Ally Jukwaani.png Ahmed Ally atoka na jipya usajili Simba SC

Wed, 6 Jul 2022 Chanzo: dar24.com

Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally, amethibitisha klabu hiyo inaendelea kufanya usajili wa Wachezaji Kimya Kimya kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara na Michuano ya Kimataifa, inayoratibiwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’.

Simba SC imekua klabu pekee iliyoendelea kuwa kimya katika kipindi hiki cha usajili, huku ikimtambulisha Mchezaji mmoja Moses Phiri anayecheza nafasi ya Ushambuliaji kutoka Zanaco FC ya Zambia.

Ahmed Ally amekua akitoa taarifa za usajili katika kurasa zake za Mitandao ya Kijamii karibu kila siku, huku akiwahimiza Mashabiki na Wanachama wa Simba SC kuendelea kuwa na Subra.

Katika andiko lake leo Jumatano (Julai 06), Ahmed ameandika: Najua unajiuliza maswali mengi kuhusu usajili wa timu yetu

Chanzo: dar24.com