Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally aomba radhi

Ahmed Pic Data Ahmed Ally

Sat, 7 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema anawaomba radhi wale wote waliokwazika na kauli yake kuwa timu nyingi kwenye Ligi Kuu ya NBC ni dhaifu msimu huu.

Meneja mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema anawaomba radhi wale wote waliokwazika na kauli yake kuwa timu nyingi kwenye Ligi Kuu ya NBC ni dhaifu msimu huu. "Niwatake radhi wale wote niliowakwaza kwa kusema timu nyingi DHAIFU, na mimi nikiri kua ni kweli msimu huu kwenye ligi yetu kuna ushindani lakini hawa 14 wanashindania nini?. Jibu baki nalo mwenyewe"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live