Wed, 26 Jul 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Aliekuwa Msemaji wa Yanga Haji Manara leo tena ameamka na Msemaji wa Simba Ahmed Ally kutokana na kauli yake iliyotafsiriwa kuwa anawaponda wachezaji wa Yanga.
Aliekuwa Msemaji wa Yanga Haji Manara leo tena ameamka na Msemaji wa Simba Ahmed Ally kutokana na kauli yake iliyotafsiriwa kuwa anawaponda wachezaji wa Yanga. Haji Jana Julai 24 aliandika andiko kuhusu kauli hiyo na leo kwa mara nyingine ameandika andiko jingine.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: