Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Yanga wametukimbia

Ahmed Ally Simbaz Vingu.jpeg Ahmed Ally.

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally inaonekana alikuwa hajalala na badala yake akiufuatilia kwa ukaribu mchezo wa Watani zao Yanga.

Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally inaonekana alikuwa hajalala na badala yake akiufuatilia kwa ukaribu mchezo wa Watani zao Yanga. Na baada ya dakika 90 kutamatika kwa ‘Machungu’ Jangwani baada ya kichapo kibaya cha goli 3-1 kutoka APR akaibuka na ujumbe mfupi ambao ni kama dongo kwa mtani akidai wamewakimbia Simba; “Wametukimbia”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live