Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Wamepeleka medali za kukosa Ubingwa, Simba itapeleka Kombe

Ahmed Ally Ikulu Ahmed Ally na viongozi wengine wa Simba

Tue, 6 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Jana Yanga kualikwa Ikulu na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa ajili ya chakula cha jioni ikiwa ni kama kupongezwa baada kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kuishia kukamata nafasi ya pili.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally ambe nae alikuwepo ikulu jana Juni 5, ameandika ujumbe katika Mtandao wake wa Kijamii wa Instagram ikiwa ni kama kijembe kwa watani zao Yanga.

Ahmed ameandika;

"Nimetoka Ikulu

Wenzetu leo wamepeleka Medali za kukosa kombe, Sisi Insha Allah sisi tutapeleka kombe Ikulu"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live