Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Tuko kwenye wakati mgumu

Ahmed Ally Press Leo.jpeg Ahmed Ally: Tuko kwenye wakati mgumu

Sat, 25 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally kupitia Instagram amefunguka sare iliyopata timu hiyo 1-1 na ASEC Mimosas mechi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally kupitia Instagram amefunguka sare iliyopata timu hiyo 1-1 na ASEC Mimosas mechi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. "Tumepata alama moja, si nzuri sana na si mbaya sana, tuna kazi kubwa ya kufanya katika mechi zijazo kuhakikisha malengo yanatimia. Bado tuna nafasi ya kufanya vizuri, tumepoteza alama tatu katika 18 za hatua ya makundi hivyo tumebakiwa na 15 za kupigania. Nyakati ngumu zinatukomaza na kutukumbusha tuboreshe wapi kwenye timu yetu. Poleni sana Wanalunyasi,"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: