Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Simba ina Mashabiki sio wanywa supu

Ahmed All Supu Day Ahmed Ally, Ofisa Habari wa Simba SC

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Mashabiki wa Simba kutangazwa kuwa mashabiki bora wa AFL 2023, Afisa habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally amesema haya.

“Tumeshinda tuzo ya mashabiki bora wa Africa”

“Hongereni sana wana Simba mnastahili heshima hii, mmeonesha tofauti ya mashabiki wa mpira na wanywa Supu za vibudu”

“Sifa hiii ya Ubora tunapaswa kuilinda na kujivunia maana sio kila mtu anaweza bora. Kuilinda sifa hii ya ubora ni pamoja na kuwa wavumilivu pindi timu inapopitia nyakati ngumu”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: