Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Mashabiki muiombee Simba

Simba Scaled Ahmed Ally: Mashabiki muiombee Simba

Fri, 23 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa habari na mawasiano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuzidisha kuiombea klabu yao ili waweze kufanya vizuri na kufuzu robo fainal ya CAFCL.

Meneja wa habari na mawasiano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuzidisha kuiombea klabu yao ili waweze kufanya vizuri na kufuzu robo fainal ya CAFCL. ''Leo ni siku muhimu kwa Wana Simba duniani kote, Mechi ya leo ni kuamua hatma yetu ya kwenda robo Fainali, mechi ngumu lakini ni lazima tupambane kupata matokeo chanya,'' Ahmed Ally.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live