Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Lakred aliruhusu bao jepesi na la kizembe

Ahmed X Lakred Ahmed Ally: Lakred aliruhusu bao jepesi na la kizembe

Tue, 19 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa ni kweli kipa wao Ayoub Lakred aliruhusu bao jepesi na la kizembe lililoigharimu timu yao dhidi ya Power Dynamos lakini amesisitiza kuwa hilo haliondoi ukubwa wa nyanda huyo na wao wataendelea kumpa nafasi zaidi kulidhihirisha hilo.

Ahmed ameongeza kuwa wachezaji bora huwa wanafanya makosa ya aina hiyo lakini haiwaondolei ukubwa wao.

Simba ilimaliza mchezo huo kwa sare ya magoli 2-2 na mchezo wa marudiano utapigwa Oktoba 1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live