Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally: Itakuwa ni aibu kwetu tusifuzu makundi

Simba Kuitumia Mechi Ya Power Dynamos Kujiandaa Na Al Ahly.jpeg Ahmed Ally: Itakuwa ni aibu kwetu tusifuzu makundi

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema kwa levo waliyofikia itakuwa ni aibu kwao kutofuzu hatua ya makundi hivyo, watafanya kila linalowezekana kuhakikisha wanashinda.

Ahmed ameyasema hayo leo Septemba 27, 2023 alipokuwa akiuzungumzia mchezo wao wa Jumapili Oktoba 1, 2023 dhidi ya Power Dynamos utakaotoa hatma yao ya kwenda hatua ya Makundi.

"Huu mchezo CAF wanauangalia, wanaangalia timu ya CAF Football League. Itakuwa ni aibu eti timu ya CAF Football League halafu isiwepo hatua ya makundi," alisema Ahmed.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live