Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahly washusha kipa mpya, mbadala wa El Shenawy

Mahmoud El Zanfali Ahly washusha kipa mpya, mbadala wa El Shenawy

Mon, 5 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Al Ahly baada ya kuachana na Mohamed Abou Gabal 'Gabaski' baada ya siku tatu kupita tangu pale aliposajiliwa.

Al Ahly baada ya kuachana na Mohamed Abou Gabal 'Gabaski' baada ya siku tatu kupita tangu pale aliposajiliwa. Jana Februari 4 imetangaza kuwa imemsajili mlinda mlango Mahmoud El-Zanfali kwa mkopo wa miezi sita kutoka Al Dakhiliya kwa lengo la kuziba nafasi ya Mohamed El Shenawy aliepata majeraha katika michuano ya AFCON 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live