Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahly wapiga tizi la mwisho wakijiandaa kuifata Yanga

Ahly Tizi La Mwisho.jpeg Ahly wapiga tizi la mwisho wakijiandaa kuifata Yanga

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Ahly SC imefanya mazoezi ya mwisho jijini Cairo kabla ya Safari ya kuja Tanzania kwa ajili ya mechi ya michuano ya klabu bingwa dhidi ya wananchi Yanga, ambapo Al Ahly Sc wanatarajia kuwasili jijini Dar Es Salaam usiku wa leo.

Klabu ya Al Ahly SC imefanya mazoezi ya mwisho jijini Cairo kabla ya Safari ya kuja Tanzania kwa ajili ya mechi ya michuano ya klabu bingwa dhidi ya wananchi Yanga, ambapo Al Ahly Sc wanatarajia kuwasili jijini Dar Es Salaam usiku wa leo. Wananchi mnawaahidi nini Al Ahly kuelekea mechi ya Jumamosi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live