Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Afya ya Pele yazidi kuzorota, yafikia hatua mbaya

WhatsApp Image 2022 12 03 At 18.jpeg Edson Erantes Dos Nascimento, maarufu kama Pele

Sat, 3 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afya ya Gwiji wa soka duniani Edson Erantes Dos Nascimento, Pele, inatajwa kuwa katika hali mbaya na hakuna matibabu yoyote ya mionzi ambayo yanaweza kumfanya awe sawa.

Baadhi ya vyomo vya habari vimeripoti kuwa amewekwa kwenye uangalizi maalum wa kupunguza maumivu na asipate changamoto ya pumzi kwa wakati huu ila hakuna tiba ambayo inaweza kutatua changamoto yake.

Pele anabaki kuwa mchezaji pekee kubeba Kombe la Dunia mara tatu ambapo amefanya hivyo akiwa na Brazil 1958, 1962, 1970.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live