Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Afungiwa mechi 5 kwa kumdhihaki mwamuzi wa Kike

Derm Red Afungiwa mechi 5 kwa kumdhihaki mwamuzi wa Kike

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tukio pichani ni Karim Demirbay nyota raia wa Uturuki akionyeshwa kadi nyekundu na Mwamuzi wa kike raia wa Ujerumani ,baada ya tukio hilo Karim aliongea maneno ya dharau kwa mwamuzi huyo akimwambia “hustahili kuwa hapa ulitakiwa kuwa jikoni”

Tukio pichani ni Karim Demirbay nyota raia wa Uturuki akionyeshwa kadi nyekundu na Mwamuzi wa kike raia wa Ujerumani ,baada ya tukio hilo Karim aliongea maneno ya dharau kwa mwamuzi huyo akimwambia “hustahili kuwa hapa ulitakiwa kuwa jikoni” Baada ya mchezo mwamuzi aliandika ripoti ya mechi na tukio hilo likiwepo , FIFA imemfungia mchezaji huyo mechi tano kwa kitendo hiko kilichotafsiriwa kama unyanyasaji .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live