Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Afunga ndoa akiwa wodini

IMG 20231211 WA0048 Afunga ndoa akiwa wodini

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja huko Afrika Kusini amefunga ndoa akiwa kwenye kitanda cha Hospitali baada siku ya ndoa yake kumkuta akiwa wodini anaumwa.

Tukio hilo lililowashangaza wengi limetokea kwenye Hospitali ya Far East Rand, huku likishudiwa na ndugu pamoja na familia.

Inaelezwa kuwa Hospitali hiyo ilitoa ruhusa ya kufungwa kwa ndoa hiyo huku ikishiriki kwa asilimia kubwa katika maandalizi ndani ya wodi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live