Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Afisa Habari TFF, afunguka kilichojiri Kambi ya Stars, Madagascar(+Video)

NDIMBO ONE Afisa Habari TFF, Cliford Ndimbo

Sun, 14 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kutokea sintofahamu katika hotel waliyofikia Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" kwa kuvamiwa na wanajeshi wenye silaha na kutaka kuondoka na baadhi ya wachezaji.

Afisa Habari wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Clifford Ndimbo ameweka wazi nini hasa sababu ya watu hao kuwafanyia kile walichowafanyia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live