Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Adidas wasitisha kuuza jezi mpya za Arsenal

Arsenal Jezi Zakosewa Adidas wasitisha kuuza jezi mpya za Arsenal

Wed, 21 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Adidas imesitisha mauzo ya jezi mpya za klabu ya Arsenal kwa muda usiojulikana baada ya shabiki kugundua makosa katika jezi hizo.

Kampuni ya Adidas imesitisha mauzo ya jezi mpya za klabu ya Arsenal kwa muda usiojulikana baada ya shabiki kugundua makosa katika jezi hizo. Adidas walitaka kuweka alama za kumbukumbu ya mwaka 2004 ya mechi 38 za Arsenal ila walikosea wakaweka alama ya mechi 32 pekee.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live