Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Adidas wampa zawadi maalum Lionel Messi

Messi Adidas Adidas wampa zawadi maalum Lionel Messi

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa ‘Klabu’ ya Inter Miami kutoka nchini Marekani, Lionel Messi amezawadiwa pete nane za dhahabu na kampuni ya Adidas kuenzi matukio yake muhimu katika maisha ya ‘soka’.

Pete hizo ambazo alipewa na kampuni inayohusika na vifaa vya michezo duniani, Adidas zimeandikwa matukio yote makubwa na yamuhimu aliyowahi kuyapitia mchezaji huyo katika maisha yake ya ‘soka’.

Kati ya vitu vilivyoandika kwenye pete hiyo ni namba 91 ikiashiria ‘rekodi’ yake ya mabao aliyofunga mwaka 2012 na nyingine ikiwa ni nyota tatu ikimaanisha ushindi wake wa kombe la dunia kwa timu yake ya Taifa ya Argentina.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live