Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ademola Lookman hakamatiki Serie A

Lookman 16 9 Ademola Lookman

Mon, 23 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mabao mawili aliyofunga dhidi ya Juventus, Ademola Lookman sasa amekuwa ni mmoja kati ya wachezaji wawili pekee waliofunga 10+ msimu huu katika Serie A.

Victor Osimhen / Nigeria (mabao 13)

Ademola Lookman / Nigeria (mabao 11)

Ademola Lookman pia sasa ni mmoja kati ya Wachezaji wawili pekee waliohusika katika mabao mengi zaidi msimu katika Serie A.

Victor Osimhen / Nigeria (16)

Ademola Lookman / Nigeria (14)

Ademola Lookman katika Serie A msimu huu hadi sasa

michezo 18

dakika 1092

mabao 11

pasi za mabao 3

amehusika katika mabao 14

Ana wastani wa kufunga bao kila baada ya dakika 99, ana wastani wa kuhusika katika bao kila baada ya dakika 78.

Ademola Lookman pia amekuwa mchezaji wa nne wa Atalanta kufunga mabao 10+ baada michezo 18 katika msimu wake wa kwanza wa Serie A, baada ya Jørgen Sørensen (1949-50), Karl Aage Hansen (1949-50) na Poul Rasmussen (1952-53).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live