Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Adam Salamba akutwa na uvimbe

Adam Salamba Mk Adam Salamba akutwa na uvimbe

Thu, 10 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Ghazl El-Mahalla FC imethibitisha kuwa Mshambuliaji wao mpya kutoka Tanzania, Adam Salamba amefanyiwa vipimo na kukutwa na uvimbe kwenye misuli yake.

Klabu ya Ghazl El-Mahalla FC imethibitisha kuwa Mshambuliaji wao mpya kutoka Tanzania, Adam Salamba amefanyiwa vipimo na kukutwa na uvimbe kwenye misuli yake. Daktari wa timu hiyo, Dkt. Khaled Al-Jamez amesema kuwa wamefanya kipimo cha X-ray ndipo walipogundua tatizo hilo; "X-ray imethibitisha uwepo wa uvimbe wa misuli ya Adam Salamba."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live