Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Adam Lalan, usajili wa kwanza Southampton

Adam Lalanaaaaa Adam Lalana

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Southampton ambao wamepanda daraja msimu huu wamepanga kumrudisha kiungo wao wa zamani Adam Lallana kama usajili wao wa kwanza mjini EPL

Mkataba wa Lallana na klabu yake ya sasa [ Brighton ] unamalizika mwezi ujao hivyo mambo yakienda sawa watamsajili kama mchezaji huru

Uzoefu , SOTON wamepanda watasajili damu changa lakini wameona umuhimu wa kuwa na mtu wa kuwaongoza vijana

Chanzo: www.tanzaniaweb.live