Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Abdi Banda arejea Baroka Fc

Banda Age 272.png Abdi Banda arejea Baroka Fc

Thu, 5 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Baroka Fc ya Championship Afrika Kusini imekamilisha usajili wa beki wa Kimataifa wa Tanzania, Abdi Hassan Banda.

Banda anarejea Baroka Fc aliowahitumikia kwa misimu miwili akitokea Richards Bays ya Afrika Kusini.

Kila la kheri Abdi Banda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live