Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#ASFCUPDATES: Hiki hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Ihefu SC

Asfc Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Ihefu

Wed, 15 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muda mchache kutoka sasa Klabu ya Yanga itakuwa uwanjani katika dimba la Mkapa kumenyana na Ihefu katika mchezo wa Azam Sports Federation.

Mchezo huo ni wa hatua ya tatu na mshindi atakaepatikana ndie atakefuzu kwenda hatua ya nne.

Hiki hapa kikosi kinachoanza cha Yanga;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live