Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#ASFCUPDATES: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Ruvu Shooting

Kikisi Msimbazi Kikosi cha Simba Kinachoanza dhidi ya Ruvu Shooting

Wed, 16 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC wanashuka dimbani majira ya saa 1:00 kupambana na Maafande wa Ruvu Shooting katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Azam Sports Federation.

Simba wanashuhudia kurudi kwa kiungo wao Bernard Morrison ambae alisimamishwa kwa muda kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu.

Simba ndio bingwa mtetezi wa Kombe hilo ambalo alimshinda mpinzani wake wa Jadi Yanga Mwaka jana.

Tazama hapa chini kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live