Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ASFCUPDATES: Half Time Simba 1- JKT Tanzania 0

Kibu Denis Goal (600 X 400) Mfungaji wa goli la Simba, Kibu Denis

Tue, 14 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wanakwenda mapumziko wakiwa kifua mbele kwa bao 1-0, lililofungwa na Kibu Denis dakika ya 27.

Winga Peter Banda anaonekana kuwa tishio katika mchezo wa leo kwani ameshatoa pasi zaidi ya mbili lakini washambuliaji wakashindwa kuzibadilisha kuwa magoli.

Asilimia kubwa ya wachezaji walioanza katika kikosi cha Simba leo ni wale wasiopata nafasi ya kuanza mara kwa mara katika mechi za Ligi Kuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live