Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#ASFCUPDATES: Half Time, Ruvu Shooting 0 - Simba 5

Chamaaaaa Simba imekwenda mapumziko wakiwa na Uongozi wa magoli 5-0

Wed, 16 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni dakika 45 chungu kwa Maafande wa Ruvu Shooting, baada ya kushuhudia wakiruhusu magoli matano kipindi cha kwanza kutoka kwa Simba SC.

Mchezo huo wa hatua ya 16 Bora ya Kombe la Azam Sports Federation, umemshuhudia nahodha wa Simba John Bocco akifunga magoli mawili na kumaliza ukame wa mabao uliokuwa ukimsakama.

Kiungo Clatous Chama amefunga magoli mawili huku mlinzi wa Ruvu Masinda akijifunga goli la tano.

Je, Kocha Boniface Mkwasa ataweza kugeuza ubao katika dakika 45 za Kipindi cha Pili?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live