Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#ASFCUPDATES: 90' Yanga 1-1 Geita Gold

Moloko Jesus D Mchezo mpaka sasa ni goli 1-1

Sun, 10 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 10 za mwisho zinashuhudia yakipatikana magoli mawili mchezo wa Robo Fainali Kombe la Azam Sports katika dimba la Mkapa.

Geita Gold wanapata goli dakika ya 86 kabla ya Yanga kusawazisha dakika za nyongeza.

Mchezo umeongezwa dakika tano, na pengine yoyote anaweza kuongeza goli

Chanzo: www.tanzaniaweb.live