Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#ASFCUPDATES: 35' Simba 0 - 0 Pamba

Simba VS Pamba Kibu Mchezo wa Simba vs Pamba bado 0-0

Sat, 14 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 35 zimeshakatika tangu kuanza kwa mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Azam kati ya Simba dhidi ya Pamba katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Dakika 35 zimeshakatika tangu kuanza kwa mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Azam kati ya Simba dhidi ya Pamba katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Hakuna Timu iliyofanikiwa kuona lango la mwenzake licha ya Simba kufanya mashambulizi kadhaa ya hatari langoni mwa Pamba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live