Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#ASFCUPDATES: 2' Simba 1 - Ruvu Shooting 0, Bocco afungua akaunti ya Magoli

Bocco B Bocco anawapa Simba bao la uongozi

Wed, 16 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha John Bocco anafungua akaunti yake ya magoli kwa msimu wa 2021/2022 baada ya kuipatia Simba bao la uongozi dakika ya 1 ya mchezo.

Nahodha John Bocco anafungua akaunti yake ya magoli kwa msimu wa 2021/2022 baada ya kuipatia Simba bao la uongozi dakika ya 1 ya mchezo. Simba ambao wameanza mchezo kwa kasi, wanaonesha bila shaka wanataka kuenda hatua ya 8 bora ya michuano hii ya ASFC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live