Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#ASFC: Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Tz Prisons

Yanga Mambo Manne Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Tz Prisons

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga Kinahuka dimbani majira ya saa 1:00 Usiku kumenyana na Maafande wa Jeshi la Magereza, Tz Prisons mchezo wa Kombe la Azam Sports Federation.

Mchezo huo wa hatua ya 16 Bora unapigwa katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kutokana na maboresho yanayoendelea katika Uwanja wa Mkapa.

Yanga wanahitaji ushindi katika mchezo huo ili kupata nafasi ya kwenda kutetea Kikombe ambacho alikibeba msimu uliopita.

Tazama kikosi kamili cha Yanga kinachokwenda kuanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live