Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#ASFC: Hii hapa Ratiba kamili Kombe la Azam Hatua ya 16 Bora

Simba Kanoute Hii hapa Ratiba kamili Kombe la Azam Hatua ya 16 Bora

Wed, 8 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa ratiba ya mechi za hatua ya 16 bora ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) zitakazochezwa mwanzoni mwa mwezi ujao.

Yanga ndio Bingwa Mtetezi wa Kombe hilo akilibeba katika Fainali ya msimu uliopita Jijini Arusha mbele ya Coast Union.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live