Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#ASFC: 25' Yanga 0-0 Tz Prisons

Aziz Ki ASFC Aziz Ki akionesha uhodari wake dhidi ya Prisons

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 25 zimekwishaondoka huku milango ikiwa bado ni migumu kwa kila upande sio Yanga wala wageni Tanzania Prisons waliofanikiwa kuona lango la mwenzake.

Dakika 25 zimekwishaondoka huku milango ikiwa bado ni migumu kwa kila upande sio Yanga wala wageni Tanzania Prisons waliofanikiwa kuona lango la mwenzake. Kennedy Musonda amepoteza nafasi tatu za wazi ambazo kama angekuwa makini basi angewapa wananchi mabao ya uongozi lakini uimara wa mlinda mlango wa Prisson umewaweka salama mpaka wakati huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live