Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AS Vita yatimua wachezaji watatu

Patrick Banza.jpeg AS Vita yatimua wachezaji watatu

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya As Vita Club imevunja mikataba ya wachezaji watatu kufuatia Utovu wa nidhamu waliouonyesha kwenye Klabu pamoja na kwa viongozi wa benchi la Ufundi la Klabu hiyo, wachezaji hao ni;

Patrick Banza

Nissi Ngoma

Mike Dombo.

Patrick Banza yeye alimtukana Kocha Mkuu wa Klabu hiyo na kusema kwamba chanzo cha matokeo mabovu ya AS Vita Club ni Kocha Mkuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live