Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AS Maniema; No Maxi Nzengeli, no problem

Maniema (14).jpeg AS Maniema

Sun, 29 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miamba ya soka kutoka Mji wa Kindu huko DRC AS Maniema Union (Manyema) Wanafanya makubwa kwenye ligi ya. nchini humo kwenye kundi lao B'.

Miamba hii kwasasa inaongoza kundi kwa alama ishirini na nne [24] nyuma ya Darling Club Motema pembe yenye alama kumi na nne [14].

Manyema imepoteza nyota wake wa kutumainiwa Max Nzengeli Mpiah aliyejiunga. na Yanga SC katika dirisha kubwa la usajili.

Nyota huyu aliwahi kuwa Mchezaji Bora Wa DRC 2020/21. Akiwa na Manyema pia alipeleka mpaka nafasi ya 4 na kushiriki michuano ya kimataifa ya Shirikisho Africa na kwasasa wanaendelea kufanya makubwa licha ya kuondoka kwake.

klabu hiyo miongoni mwa sajili bora walizofanya ni Mshambuliaji wa TP Mazembe Japhte kitambala Bola ambaye ameshafunga bao 2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live