Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

APR yatangulia fainali Kagame Cup

Apr Rwanda APR yatangulia Fainali Kagame Cup

Sat, 20 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya APR ya Rwanda imetinga fainali ya michuano ya Kombe la Dar Port Kagame baada ya kuitoa Al Hilal ya Sudan kwa penalti 5-4 kufuatia matokeo ya suluhu ya 0-0 hadi muda wa nyongeza katika nusu fainali ya kwanza kwenye uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live