Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

APR: Hatutashiriki tena Mapinduzi Cup

Kocha W APR: Hatutashiriki tena Mapinduzi Cup

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Msaidizi wa APR FC, Aime Ndizeye ameonesha kutoridhishwa na maamuzi ya waamuzi wa mchezo wao wa Nusu Fainali ya Mapinduzi Cup dhidi ya Mlandege FC ambapo APR FC ilipoteza kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya mchezo huo kumalizika bila timu hizo kufungana.

Kocha Msaidizi wa APR FC, Aime Ndizeye ameonesha kutoridhishwa na maamuzi ya waamuzi wa mchezo wao wa Nusu Fainali ya Mapinduzi Cup dhidi ya Mlandege FC ambapo APR FC ilipoteza kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya mchezo huo kumalizika bila timu hizo kufungana. Ndizeye wakati anazungumza na Waandishi wa Habari baada ya mchezo huo, pamoja na mambo mengine alisema: “Hatutakuja tena kwenye mashindano haya.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live