Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AFL walivyokula "Promo" ya bure mechi ya Yanga vs Azam

Yanga AFL.jpeg AFL walivyokula "Promo" ya bure mechi ya Yanga vs Azam

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pichani ni mchanganyiko wa picha za Yanga kutoka mchezo wa Ligi kuu lakini muonekano ni wa AFL na wamekula mashavu ya kutosha. Ilikua ni Mechi kati ya Azam na Yanga ndani ya Benjamini Mkapa ambao kila ssehemu ulisheheni Alama za AFL.

Katika mechi hii kulikua kuna mapungufu mengi sana ya kimuonekano na kiudhamini. Muonekano wa ligi kuu Tanzania Bara haukuwepo bali ulikua wa AFL pia wadhamini walidhulumiwa kwa kutokuonekana kwenye SCREEN pembezoni mwa Uwanja.

AFL wametuachia Somo, katika mechi ya Simba na Al Ahly kila sehemu ambapo kamera ingegonga basi ulikua unakutana na mabango yanayoashiria hii ni AFL. Lakini ligi yetu imekwama katika hilo na imekwama katika kutengeneza muonekano wa Ligi kuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: