Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AFL imetupa somo kama Taifa

#VIDEO: Kumenoga Uwanja Wa Benjamini Mkapa, Mambo Ni Moto! Mwonekano wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukiangalia Lupaso, kiukweli panatia matumaini kwa marekebisho/ukarabati uliofanyika kuanzia taa, vyumba vya kubadilisha nguo n.k.

Tumezoea kuona sound inafungwa siku moja kabla ya tukio lakini kuelekea mechi ya ufunguzi wa African Football League mambo ni tofauti kabisa! Sound tayari imefungwa kitambo na inajaribiwa kila siku.

Miongoni mwa faida za mechi ya ufunguzi wa mashindano ya African Football League ni kutengeneza ajira za muda mfupi, vijana wengi wamepata nafasi ya kufanya kazi kuelekea tukio hili kubwa na wao ni watanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live