Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AFL: Ni muda wa mafuta kujitenga na maji

Simba Vs Ahly Vikosi AFL: Ni muda wa mafuta kujitenga na maji

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mechi za Robo fainali mkondo wa kwanza zimetamatishwa jana kwa michezo miwili kupigwa viwanja viwili tofauti ,TP Mazembe akishinda nyumbani na Wydad pia akishinda bao moja ugenini .

Mkondo wa kwanza umezalisha jumla ya mabao 8 huku makipa wawili pekee wakiondoka na hati safi (cleansheet).

Hakuna mchezaji aliyefunga magoli mawili hadi sasa !

Kibu Denis | Simba 1

Kanoute | Simba 1

Reda Slim | Ahly 1

Kharaba | Ahly 1

Yahya | Wydad 1

Cheick Fofana | Mazembe 1

Thapelo Maseko | Sundowns 1

Marcelo Allende | Sundowns 1

Mechi za mkondo wa pili zinaanza kesho ! Matokeo ya jumla yataamua nani anasonga mbele hatua ya Nusu Fainali .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live