Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AFCON yamkosesha dili zito kipa wa Morocco

Yassine Bounou Morocco AFCON yamkosesha dili zito kipa wa Morocco

Tue, 12 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinda mlango wa Morocco Yassine Bounou alikuwa chaguo namba moja la kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti baada ya kujua atamkosa Golikipa wake Thibaut Curois kwa sababu ya majeruhi.

Ila hadithi ilibadilika baada ya Kocha huyo kugundua atakwenda kuikosa huduma ya mlinda mlango huyo mwezi Januari kwa sababu ya Michuano ya AFCON.

Carlo akapendekeza jina la Kepa Arrizabalaga kutoka Chelsea katika nafasi ya Curtois.

Je una maoni gani kwa kitendo cha Michuano ya AFCON kuchezwa mwanzoni mwa mwaka? au CAF wabadilishe ratiba

Chanzo: www.tanzaniaweb.live