Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AFCON 2023 Hapatoshi leo

Nba Canada  Ab36e0a6 C4b3 4867 93b6 2c4fa8e048ce.png AFCON 2023 Hapatoshi leo

Sat, 27 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashindano ya kombe la Mataifa Afrika 2023 (AFCON2023) yanaendelea kutimua vumbi leo Januari 27, 2024 kwa mechi mbili za hatua ya mtoano 16 bora (playoffs) za kusaka tiketi ya robo fainali.

Mtanange wa mapema saa 2:00 usiku utaikutanisha miamba kutoka ukanda wa COSAFA, Angola dhidi ya Namibia katika dimba la de La Paix mjini Bouaké.

Mchezo mwingine utawakutanisha Mabingwa wa AFCON 2013 Nigeria dhidi ya Mabingwa wa 2017, Cameroon katika dimba la Felix Houphouet-Boigny majira ya saa 5:00 usiku.

Angola vs Namibia

Uwanja: Stade de la Paix

Muda: Saa 2:00 usiku

Nigeria vs Cameroon

Uwanja: Stade Felix Houphouet-Boigny

Muda: Saa 5:00 USIKU

Chanzo: www.tanzaniaweb.live