Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AC Milan watupwa nje Michuano ya Ulaya

Nje Michuano Ya Ulaya (600 X 750) Mshambuliaji wa AC Milan Zlatan akiwa haamini kilichotokea

Wed, 8 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miamba ya Soka nchini Italia, Klabu ya AC Milan imetupwa nje katika michuano ya Ulaya baada ya kipigo cha Mabao 2-1 kutoka kwa Liverpool usiku wa jana katika mchezo wa Kundi B.

Milan imemaliza ya mwisho dhidi ya vinara Liverpool, Atletico De Madrid na FC Porto ambao watakwenda michuano ya Uropa.

Kwa sasa Milan inaongoza msimamo wa Serie A, wakiwa na alama 38 baada ya kucheza michezo 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live