Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AC Milan wamalizana na Daichi, asaini miaka 5

Daichi Kamada Daichi Kamada

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Ac Milan imefikia makubaliano ya kumsaini nyota wa Frankfurt Daichi Kamada (26) raia wa Japan kama mchezaji huru.

Takwimu za Daichi msimu katika Bundesliga

Mechi: 32 Magoli: 9 Assists: 6

Mkataba wa Daichi na Milan utakuwa hadi mwaka 2028.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live