Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

A.S Roma yajitosa kwa Firmino

Roberto Firmino Barbosa Firmino

Sun, 16 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

A.S Roma wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Brazil Roberto Firmino, 31, mkataba wake na Liverpool utakapokamilika msimu huu. (Nicolo Schira)Roma pia wanafikiria kumsajili beki wa pembeni wa Leicester City na England James Justin, 25, kwa mkopo na chaguo la kufanya uhamisho huo kuwa wa kudumu kwa ada ya euro 20m (£17.7m). (Calciomercato – in Italian)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: