Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waislamu waanza kufunga Ramadhan

Waislamu Waanza Kufunga Ramadhan Waislamu waanza kufunga Ramadhan

Thu, 23 Mar 2023 Chanzo: Bbc

Waislamu wameanza kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhan siku ya Alhamisi duniani kote baada ya mwezi kuandama majira ya jioni siku ya Jumatano.

Nchini Kenya, Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Sukyan Hasan nchini Kenya alitangaza kuonekana kwa mwezi katika baadhi ya Kaunti za Mandera, Wajir na Tana River siku ya Jumatano Jioni.

Ramadhan ambao ni mwezi wa tisa wa kalenda ya Kiislamu, unachukuliwa kuwa mtakatifu zaidi na Waislamu.

Waumini wametakiwa kuungana wanapoanza saumu yao na kuepuka jambo lolote litakaloingilia mfungo wao.

Chanzo: Bbc