Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waislam waanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Ramadhani Mdf Waislam waanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambao ni nguzo ya Nne ya Uislam umeanza magharibi ya leo huku waumini wa kiislam hapa nchini wakitarajiwa kuungana na wenzao duniani kote katika kutekeleza nguzo hiyo.

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally ametangaza jana kwamba, Mwezi umeandama jioni ya jana, hivyo leo Machi 12, rasmi Waislam wanaingia kwenye mfungo wa mwezi mtukufu.

Tanzania Web inawatakia kila lenye kheri Waisjamu wote watakaojaliwa kutimiza nguzo hii muhimu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live