Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vilio vyatawala mwili wa mwanakwaya aliyefia gesti ukiwasili kanisani

16280 Mwanakaya+pic TanzaniaWeb

Sun, 9 Sep 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

Mwanachi. Mwili wa muimba kwaya ya Vijana ya Kanisa la AICT Chang'ombe (CVC), Mariam Charles (22), umewasili kanisani hapo kwa ajili ya ibada ya mazishi.

Vilio na simanzi vilitawala kanisani hapo  wakati mwili huo ukiwasili na kupokelewa na wanakwaya wenzake.

Mariam anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mwili wake ulikutwa usiku wa kuamkia Septemba 5 katika nyumba ya kulala wageni ya 'East London’ iliyopo Buza anakodaiwa alikuwa na mchumba wake.

Soma Zaidi:

Sakata la mwanakwaya kufia gesti, ndugu watumiwa meseji za vitisho

 

 

Chanzo: mwananchi.co.tz