Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taarifa ya BAKWATA kuhusu tarehe za Sikukuu

MUFTI MKUU Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir

Mon, 18 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limeutaarifu Umma wa Waislamu na Watanzania kwa Ujumla kuhusiana na tarehe rasmi ya Maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), ambayo hutambulika kama sikukuu ya Maulid.

Aidha BAKWATA imetumia nafasi hiyo kuwaeleza watanzania eneo litakalotumika kusomwa kwa Maulid hayo kitaifa, ambapo yatafanyika Mkoani Kagera.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live