Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Padre Raymond Saba Afariki Dunia

Saba?fit=1231%2C694&ssl=1 Padre Raymond Saba

Wed, 4 Aug 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Raymond Saba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano, Ahosti 4, 2021 wakati akipatiwa Matibabu katika Hospitali ya Rabininsia.

Askofu Joseph R. Mlola wa Jimbo Katoliki Kigoma amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kuwasihi waumini wa katoliki pamoja na watanzania kumuombea kiongozi huyo pumziko la milele.

Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani. Amina.

Chanzo: globalpublishers.co.tz