Dini

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Padre Paul Haule wa St Peter's afariki dunia

88a6843e73c5bd85518f574c2a7d90c9 Aliyekuwa Paroko Msaidizi , Padre Paul Haule

Wed, 18 Aug 2021 Chanzo: www.habarileo.co.tz

HABARI zilizotufikia ni kuwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Mtakatifu Petro ‘St Peters’ jijini Dar es Salaam, Paul Haule, amefariki dunia leo saa 10:30 jioni wakati akitibiwa katika Hospitali ya Kardinali Rugambwa iliyopo Ukonga.

Taarifa za awali zinasema mwili wa Padre Haule ambaye alikua amelazwa kwa siku kadhaa umehifadhiwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo.

Mbali na kuwa paroko msaidizi, Padre Haule alikuwa mkurugenzi wa matangazo Radio Tumaini.

Chanzo: www.habarileo.co.tz